Skip to main content

Posts

HOW DO YOU DEFINE MESSI NOW?

<iframe style="width:120px;height:240px;" marginwidth="0" marginheight="0" scrolling="no" frameborder="0" src="//ws-na.amazon-adsystem.com/widgets/q?ServiceVersion=20070822&OneJS=1&Operation=GetAdHtml&MarketPlace=US&source=ac&ref=tf_til&ad_type=product_link&tracking_id=newtechdrive-20&marketplace=amazon&region=US&placement=B085LS7Q9L&asins=B085LS7Q9L&linkId=005429847df0c490be199b3e8f5c7218&show_border=false&link_opens_in_new_window=false&price_color=333333&title_color=0066c0&bg_color=ffffff">     </iframe>
Recent posts

Watch this piece

 

SEE MORE

 

GET MORE INFO

 

MORE ABOUT THE STORY

 
GO FURTHER  

KWA NINI SIIAMINI BIBLIA

                                                     Karibuni sana wasomaji wetu wa tovuti hii ambayo ni maalumu kabisa kwa kupanua wigo wa kuielewa biblia ilivyo na uhalisia unaoendelea katika dunia hii.Hii ni makala ya kwanza kabisa kwa wasomaji  wetu wa tovuti hii katika mfululizo wa matoleo yatakayo endelea.Kwa kuwa yanayoandikwa humu  ni mambo yaliopo kwenye biblia na kwa kuwa wasomaji wa makala hii ni wasomaji wa biblia hiyohiyo, sitaki kumaanisha ninawakwaza watu kwa kuidadisi biblia,bali ni sehemu ya kupata changamoto, elimu na kukumbushana kuisoma biblia na kuielewa.Pia ninazitambua juhudi za waandishi wa biblia kuchangia kueneza neno la mungu ambalo tunalo sasa na kuliishi wamefanya kazi kubwa sana.Bila kuwasahau wahubiri wetu wa neno la mungu maaskofu, mapadre wachungaji mbalimbali na wazee wa makanisa mbalimbali duniani kwote wa...